Mafunzo ya Uanzishaji na Utunzaji Bustani za Miti na Matunda November 2019
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Kituo cha Uzallishaji Mbegu za Miti (DTSP) inawaarika kwenye mafunzo ya muda mfupi ya Uanzishaji na utunzaji Bustani za Miti na Matunda,yatakayofanyika kuanzia tarehe 17/11/2019 hadi 30/11/2019 Mkoani Mororgoro katika kumbi za kituo cha uzalishaji Mbegu Morogoro, Kihonda.
Kupata maelezo zaidi kuhusu wapi mafunzo yanafanyika, madhumuni ya mafunzo,walengwa, mada zitakazofundishwa na mengineyo tafadhali pakua/download Document ifuatayo:
Maelekezo Click Here
Kwa ufafanuzi zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia barua pepe zifuatazo
Email: seed@tfs.go.tz
au simu no 0626578465
THIBITISHA USHIRIKI WAKO kwa kujaza Form iliyoambatanishwa.
English