Seeds are Treasure
DW
Dawa
KN
Kuni
KV
Kivuli na kukinga upepo mkali
MB
Mbao
MK
Mkaa
MP
Mapambo
MPT
Kilimo mseto , Mifugo
MT
Matunda
NG
Nguzo
a
Tumbukiza mbegu kwenye maji yanayochemka kisha uziache ndani ya maji mpaka maji yapoe
b
Toboa gamba la mbegu kwa kutumia kitu chenye ncha kali ili kuruhusu maji yapenye
c
Loweka mbegu kwenye maji baridi kwa masaa 24 mfululizo
d
Hakuna umuhimu wa maandalizi ya awali
e
Loweka mbegu kwenye maji baridi kwa masaa 6
f
Bado hakujakuwa na mapendekezo
g
Pasua gamba la mbegu kwa uangalifu ili maji yaweze kupenya kwenye mbegu kirahisi
h
Loweka mbegu kwenye maji yanayotembea kwa masaa 72
+
Italipwa kwa Tsh sawa na thamani ya Dola ya kimarekani ya wakati husika
*
*Ukuaji wa miti umerekebishwa na kuboreshwa kwa mara ya pili
**
Ukuaji wa miti umerkebishwa na kuboreshwa mara ya tatu